clout

n (arch) 1 (colloq) pigo (hasa la mkono). 2 kitambaa (hasa cha kusugulia au kusafishia). 3 (of shoe) njumu. 4 (US sl) uwezo wa kushawishi/kutenda hasa kisiasa. vt 1 (colloq) piga. 2 pigilia njumu ya kiatu.