cloth

n 1 nguo, kitambaa cha namna yoyote; (woollen) sufu; (linen) kitani, bafta; (calico) marekani, ulaiti, gamti; (black) kaniki; baibui; (of gold) zari; (loin-cloth) shuka, kikoi, kitambi; (table cloth) kitambaa cha meza; turban ~ kilemba. 2 (naut) tanga, gamti, maradufu. 3 (rel) a man of the ~ kasisi. clothes n 1 mavazi, libasi, nguo; in plain clothes katika nguo za kiraia put on/take off one's ~es vaa/vua. 2 (bed-clothes) nguo za kitandani. ~es -basket n tenga la kuwekea nguo za kufua. clothes -horse n ubao wa kuanikia nguo. ~ es-line n kamba ya kuanikia nguo. ~es -man n mchuuzi wa mitumba/nguo kuukuu. ~ es-moth n nondo mla nguo. clothes -peg n kibanio. ~ es-prop n (also ~es-post) mwegamo (wa kamba ya kuanikia nguo). clothier n (arch) mchuuza nguo au vitambaa. clothing n nguo, mavazi, libasi articles of ~ing mavazi. the ~ing trade n biashara ya nguo. clothe vt 1 vika, visha. ~ oneself vaa, jivisha. 2 (fig) fumba, eleza ~ in a sweet language fumba/eleza kwa lugha tamu.