closet

n 1 chumba cha faragha. 2 (US) chumba cha kuhifadhia vitu; kabati. 3 (arch) water ~ choo, msala. vt ~ oneself jitenga; jifungia. be ~ed with somebody (together) kutana faraghani (kwa shauri, kwa kusoma n.k.) adj -a siri come out of the ~ tangaza kwamba ni msenge/msagaji/ basha.