close
close
1 adj 1 karibu ~ to the house karibu na nyumba. a ~ call/ thing/shave kuponea chupuchupu. ~ up picha ya karibu ~ friends marafiki sana. 2 -liopangwa karibu karibu; -liosongana. ~ weave n mfumo wa karibu. 3 kali in ~ confinement chini ya ulinzi mkali keep a ~ watch chunga vikali. 4 -a makini make an ~ inspection kagua kwa makini. 5 -a siri; -a faragha: -liofichwa she is very ~ about her life ni msiri sana kuhusu maisha yake. 6 closefisted adj bahili, -nyimifu; -choyo. 7 (sports, games) karibiana sana it was a ~game walikaribiana sana (katika mashindano). 8 (weather) -enye jasho na joto; -inayobana; zito sana; inayokaza the sweater is a ~ fit sweta inabana. 9 ~ friend mwandani, -a kusafiana nia. 10 (phonetics) (of vowels) -a juu. closed n funge. (season) ~ season wakati ambapo uwindaji ni marufuku (ili wanyama wazae) adv karibu karibu sana. ~ at hand hapa hapa. ~ by/to karibu na. ~ upon karibia. ~ up to karibiana na. closeness n. closely adv kwa makini; karibukaribu sana.close
2 n 1 uwanja, uga (wa kanisa/shule). 2 njia iliyofungwa break ~ kumwingilia mtu katika ardhi yake. ~ cropped adj (hair, grass) fupi sana. ~ together karibu karibu adv sail ~ to the wind karibia kuvunja sheria/mila/miiko. closehauled adj -lioenda joshi.close
3 vt,vi funga ~ the doors funga milango; (fig) -fa. closed book n fumbo, jambo lisiloeleweka, uchawi; jambo lililokwisha. ~ accounts funga hesabu. 2 ~ one's eyes funga, fumba macho, -totia maanani, jifanya huoni ~ a debate maliza mjadala. ~ down funga (duka n.k.). ~ up sogeza/ziba kabisa. 3 fungika, fumbika, jifunga the theatre ~s on Monday thieta hufungwa kila Jumatatu. 4 songa, kubali. ~ with (agree) kubali, patana, -wa karibu; (of war) ~ with the enemy anza kupigana. ~ with the land karibia pwani. closed circuit n -a nyaya maalum. closed shop n wanachama (tu); (of a shop etc) fungwa. ~ in -wa fupi the days are closing in siku zinakuwa fupi (of radio) maliza matangazo. ~ in/on/~ d upon zingira na shambulia the enemy ~ d upon us adui alituzingira na kutushambulia n mwisho, hitimisho at the ~ of the day jioni at the ~ of this century mwisho wa karne hii draw/bring something to a ~ maliza.