cloister

n 1 makazi ya watawa.utawani. 2 ujia (mrefu, mwembamba) wenye matao, (agh. wa nyumba ya watawa). vt 1 weka/ishi kwenye nyumba ya watawa. 2 (fig) live a ~ed life ishi maisha ya kutengwa kama watawa.