clog

clog

1 n 1 kizuizi, kizibo. vt ziba (agh. kwa uchafu), zuia; zibika, zuilika.

clog

2 n 1 mtalawanda, kiatu cha gongo (kiatu chenye soli ya mti). 2 kibao kinachofungwa miguuni mwa mnyama ili asizurure; (fig) kizuizi. vt 1 ziba (bomba nk.). 2 zuia. cloggy adj.