clock

clock

1 n 1 saa kubwa (ya mezani, ukutani, au mnarani) put the ~ back rudisha nyuma; rudia mambo ya zamani. (arch) against the ~ kabla ya saa iliyopangwa. (sl) sleep/work around the ~ lala/fanya kazi saa 24. vt,vi 1 pima muda unaotumiwa kwa jambo. 2 (GB sl) piga. 3 ~ in (out) ripoti, jiandikisha saa ya kufika/ kutoka kazini. ~ up fikia. clockwise adv kwa mzunguko wa akrabu, kisaa turn the handle ~wise zungusha mkono upande wa kulia. anti ~wise adj, adv kinyume saa. clockwork n mtambo wa saa, chombo cha aina hiyo like ~work; with ~ work kwa taratibu, kwa mpango uliowekwa, bila tatizo lolote. ~ watching n tabia ya kungoja saa ya kufunga kazi ifike.

clock

2 n kipambo kinachofumwa kwenye soksi.