cloak

n 1 joho. 2 kifuniko; pazia; kitu kinachoficha sababu/mawazo ya ukweli. vt ficha; setiri, valisha; funika. ~and dagger adj -a kuhusu upelelezi, -a siri. cloak-room n 1 chumba cha kuwekea makoti, mizigo n.k. 2 (euphem) choo.