clip

clip

1 vt shikiza, bana, funga weka pamoja kwa kibao (n.k.) n kishikizo, kibano.

clip

2 vt 1 kata (kwa makasi), dira, punguza, fupisha ~ a hedge (or the wool from a sheep's back) dira, (kata) uga wa mimea, manyoya (mgongoni mwa kondoo). 2 ~ somebody's wings fanyia mtu inda asifikie lengo lake. 3 (of ticket) toboa. 4 (colloq) piga vizuri; ruka au fupisha sauti mwishoni mwa neno. n 1 kukata; mkato. 2 (for hair) kudira. 3 (of sheep) kunyoa. 4 pigo. 5 (colloq) mwendo wa kasi. clipping n makala iliyokatwa kutoka gazetini. clipper n 1 (of person) mkataji manyoya. 2 (pair of) clippers n mkasi. 3 merikebu iendayo kasi sana (kwa matanga) .