clinic

n 1 kliniki. 2 hospitali maalumu. 3 mahali pa ushauri (wa kiganga) au matibabu. clinical adj 1 -a hospitali, -a kuhusu mafundisho ya utibabu (uganga) yanayotolewa katika hospitali. ~al thermometer n kipima joto. 2 adilifu.