climate

n 1 tabia ya nchi (yaani joto, baridi, upepo, mvua n.k.); hali ya mambo ilivyo political ~ hali ya siasa ilivyo. climatic adj. climatology n taaluma ya hali ya nchi. climatologist n.