click
click
1 n 1 mwaliko sauti: sauti ya kualika kama vile kidole, mtambo wa bunduki, n.k. 2 kidoko. 3 (of horse) mwaliko wa kwato (wa miguu ya mbele na nyuma inapokutana). vt alisha, liza kidoko, piga kidoko ~one's tongue piga kidoko ~ one's heels gonganisha visigino (vya miguu).click
2 vi (sl) 1 eleweka the point suddenly ~ed up wazo lilieleweka. 2 elewana mara moja.