clever

adj 1 stadi, mahiri, -juzi be ~ with one's hands wa hodari kwa kazi ya mikono a ~ workman fundi, stadi, waria. 2 -enye akili, hodari be ~ at something wa hodari kwa jambo fulani ~ dick mtu anayetambia akili yake. 3 janja. cleverness n.