cleave
vt 1 pasua, kata, (vipande viwili), tenga kwa nguvu, chana chana. 2 (penetrate) penya ~ one,s way through the crowd penya katikati ya watu cloven hoof kwato yenye pande mbili (k.v. ng'ombe mbuzi n.k.); (fig) kwato ya shetani. cleavage n 1 mpasuo; mpasuko. 2 mfarakano, mgawanyo. 3 (colloq) nafasi katikati ya matiti. vi (arch) nata, shikamana na, ganda ~ to one's opinion shikilia mawazo (yake). cleaver n shoka au kisu kikubwa agh. cha kukatia nyama.