clean

adj 1 safi, -eupe. 2 -sio na waa; -sio na hatia have ~ hands wa bila kosa wala hatia. 3 -enye udhu/tohara. make a ~ breast of something ungama. 4 mpya, -sotumika bado start a ~ slate anza upya 5 -enye kupendeza. ~ -limbed adj -a maungo mazuri. 6 stahifu have a ~ tongue -wa na lugha stahifu. 7 kamilifu kabisa. 8 (of tree) bila mafundo. 9 aminifu. 10 stadi a ~ boxer mwanamasumbwi stadi. 11 -enye kufaa kwa chakula un ~ animals wanyama haramu/ wasioruhusiwa na dini kuliwa (k.m. nguruwe) adv kabisa, pia we ~ forgot you were coming tulisahau kabisa kuwa unakuja come ~ jitakasa kabisa ~ cut adj -lotengenezwa vizuri ~living adj bikira ~shaven, adj lonyolewa vizuri. ~ through katikati; kote. vt,vi 1 safisha, takasa; osha. 2 fua. 3 (sl) be ~ed out filisiwa. cleanout 1 safisha. 2 chukua fedha zote (kwa kushinda au kuiba). cleanup safisha sana (fig) ~up the city safisha mji (kwa kuondoa wahalifu). ~ er n mnadhifishaji. take somebody to the ~ers filisi. dry ~er n dobi ~ fingers (fig) -siopokea wala kutoa hongo. cleanly adj nadhifu adv kwa unadhifu. cleanliness n.