clay

n 1 udongo wa mfinyazi. 2 (arch) mwili wa mwanadamu; maiti we are but ~ sisi ni udongo tu ~-cold adj -a baridi sana (hasa kwa maiti). clayey adj -enye/ -liofunikwa na udongo wa mfinyanzi.