clatter

n 1 sauti ya vitu vinavyogongana. 2 makelele, maongezi yenye makelele. vt vi fanya makelele; gonganisha ~ down anguka kwa kishindo, teremka kwa kishindo.