classic

n 1 sanaa au kazi ya kiwango cha juu sana (inayotambuliwa na kutumiwa kama mfano bora). 2 fasihi, historia na falsafa ya Wayunani na Warumi. the C~s n maandishi/maandiko bora (hasa ya Wayunani na Warumi wa zamani) adj 1 -lio bora kabisa; -lio maarufu sana. 2 (of style in costume, etc.) -a jadi, -a kimapokeo. 3 -siopambwa sana; -sionakshiwa. classicist n. classical 1 adj -a kuhusu utamaduni na elimu ya Wayunani na Warumi wa zamani. a ~al scholar n mwanazuoni wa elimu na lugha. 2 (music) muziki dhati.