n 1 (social) tabaka working ~ tabaka la wafanyakazi. ~ consciousnessn hisia za kitabaka. ~ strugglen mapambano ya kitabaka, harakati za kitabaka. 2 (of travel) daraja. 3 (of school) darasa (la watu wafundishwao pamoja). classroomn darasa. classmaten mwanafunzi mwenza. 4 jamii ya vitu vya namna moja more in a ~ (of its own) -a pekee. 5 (mil) marika. 6 (gram) ngeli. vtclassify 1 tabakisha. 2 ainisha. classifiedadj 1 -loanishwa. ~ified adn tangazo dogo (katika gazeti la biashara). 2 -a siri ~ified information habari za siri. classificationn 1 upambanuzi; uainishaji. 2 mpango wa aina mbalimbali; mgawanyo wa aina mbalimbali. classismn 1 urasimi. 2 fani, kauli bora; usomi wa fasihi (sanaa) iliyothaminiwa kuwa bora. classyadj (colloq) -a mitindo, -a tabaka/daraja la juu. classlessadj -siyo na tabaka.