clasp

n 1 kifaa (chenye sehemu mbili) cha kufungia au kushikia vitu pamoja (k.m. kifungo, bizimu). 2 kipande cha madini ya fedha, n.k. kwenye medali chenye jina la vita (kwa askari) au kampeni inayofanywa. 3 kushika kwa nguvu (kwa vidole au mikono). 4 kupeana mkono. 5 mkumbatio. vt 1 funga (k.m. kwa kifungo au bizimu). 2 (embrace) kumbatia. 3 kamata, shika. 4 fumbata ~ hands shikana/peana mikono. ~ knife n kisu cha kukunja.