clap

clap

1 vt, vi 1 piga makofi (kwa kushangilia) ~ one's hands piga makofi (ya shangwe). 2 ~ in prison tia mtu jela ~ duty on goods toza ushuru. ~ eyes on somebody (colloq) ona. 3 pigapiga kwa kiganja kuonyesha upen do.clapper n 1 mtu/kitu kifanyacho mlio/sauti ya mpasuko (k.v. ulimi wa kengele). 2 mtu ashangiliaye. 3 ulimi wa mtu anayesema sana. n 1 sauti ya mpasuko kama wa radi. 2 kofi.

clap

2 n (sl) kisonono.