clamber

vi panda, kwea kwa shida (hasa kwa kutumia mikono na miguu), paramia, sombea. n mpando, mparamio, usombeaji.