claim

vt 1 dai, taka haki. 2 (assert oneself) nena kwa dhati (ili kuthibitisha ukweli); taja. 3 stahili, hitaji. n 1 dai, madai ~ of right madai ya haki. 2 statement of ~ maelezo ya madai a ~ for damages madai ya gharama lay ~ to something dai ujira au ushuru a legal ~ to something daawa. 3 kilichodaiwa. 4 machimbo/miliki ya mtu. claimant n mdai.