civil

adj 1 -enye kuhusu raia. ~ clam servant n mtumishi wa serikali. the ~ service n utumishi wa serikali. ~ marriages n ndoa za kiserikali. ~ rights n haki za raia (kisiasa, kisheria, kijamii). ~ war n vita vya wenyewe kwa wenyewe. 2 -a madai. ~ case n kesi ya madai. ~Defence Corps n ulinzi wa raia (dhidi ya shambulio la adui hasa kutoka angani). ~ defence corp n mgambo. ~ disobedience n uasi, uvunjaji sheria. 3 -a kuhusu ujenzi. ~ engineer n mhandisi ujenzi (barabara, daraja, n.k.). civilly adv kwa adabu, kwa unyofu, kwa unyenyekevu. civility n unyenyekevu, adabu heshima, uungwana. civilian n raia (asiye askari) adj in ~ian clothes -enye kuvaa nguo za kiraia.