civic

adj 1 -a kiraia, -a uraia. 2 -a jiji; -a kuhusu mji au wakaao mjini ~ centre mahali palipo na ofisi za jiji na majengo ya serikali. civics n uraia: elimu ya utawala wa mji, kazi na haki za raia.