city

n 1 jiji; mji mkubwa. 2 mji uliopewa haki maalum za kujitawala ~ centre katikati ya mji. ~ fathers n madiwani wa jiji. ~ slicker n jambazi au mhuni (aghalabu wa jijini). 3 raia wa jiji.