cite

vt 1 dondoa kama mfano (kutoka kitabuni n.k.) ili kuthibitisha hoja. 2 (US) taja (mtu) kwa ujasiri wake vitani. 3 (leg) ita shaurini/ mahakamani. citation n 1 dondoo. 2 mtajo. 3 hati inayoambatana na tamko la tuzo. 4 (US) tamko katika kutaja kumbukumbu rasmi (k.m. ushujaa katika vita).