citadel

n ngome (ya kulinda mji). 2 (fig) mahali pa usalama, mahali pa kukimbilia (wakati wa hatari).