circus

n 1 sarakasi. 2 kiwanja mfano wa duara cha kuonyeshea michezo. 3 wachezaji wazungukao mjini kuonyesha michezo yao; tamasha. 4 makutano: sehemu ambapo barabara nyingi hukutana.