circuit

n 1 duru, mzunguko, njia ya kuzunguka you have to make a wide ~ inakupasa uzunguke mbali. 2 ziara: safari ya kutembelea eneo maalumu (k.v. jaji anayetembelea mahakama na walio chini yake). 3 (electr) mzunguko umeme, saketi a short ~ mkato wa mzunguko wa umeme. 4 kundi la sinema, chini ya utawala/kampuni moja. vt zungusha. vi zunguka. circuitous adj -a kuzunguka zunguka. circuitously adv.