circle

n 1 duara; mviringo (kama wa sahani), kitu mfano wa duara; familia moja have black ~s under the eye kunjamana kwa ngozi za macho na kuwa nyeusi zaidi achokapo mtu. 2 (ring) pete, taji. 3 mfululizo kamili come full ~ malizia, rudia mahali pa kuanzia. 4 jamii ya watu wenye mawazo/kazi zinazofanana he was praised in academic ~s alisifiwa na jamii ya wanataaluma. in business ~s miongoni mwa wafanyabiashara. vt, vi zungusha; zunguka, enda mwendo wa duara. circlet n 1 kiduara. 2 kitaji. circular adj kiduara, -a duara, -a mviringo. circular saw n msumeno gurudumu. n waraka, ilani (kwa wote wanaohusika). circularize vt peleka kwa watu wengi.