cipher/cypher

n 1 tarakimu 0, sifuri. 2 tarakimu ya kiarabu (yoyote toka 1 hadi 9). 3 (secret writing) maandishi ya kimafumbo ~ key kifumbuzi. 4 (fig) mtu/kitu duni, yahe, hohehahe. vt, vi (colloq) 1 jumlisha; fanya hesabu; gawa. 2 andika maandishi ya kimafumbo.