cinema

n 1 jumba la kuonyeshea filamu. 2 filamu, sinema. cinematograph n chombo cha kupigia picha za sinema. cinematography n elimu/sanaa ya upigaji picha za sinema.