cinder

n 1 kipande cha mkaa/kuni ambacho kimeungua kiasi. 2 kipande cha lava. 3 mabaki baada ya kutoa chuma chenye matapo. 4 (pl) majivu. ~ -track n (athletics) uwanja wa kukimbia (uliotengenezwa na majivu).