churn

n 1 chombo cha kusukia maziwa, tungu. 2 gudulia kubwa la maziwa. vt,vi 1 ~ up tengeneza siagi kwa kusuka maziwa. 2 vurugavuruga (kama upepo unavyovuruga bahari). 3 charuka, vurugika. 4 ~ out tengeneza/toa kwa wingi bila ubora.