church

n 1 kanisa. ~ register n rekodi za uzazi, harusi, na vifo katika parokia. ~ yard n sehemu ya makaburi katika eneo la kanisa. 2 ibada katika kanisa. ~ goer mwenda kanisani mara kwa mara. 3 jamii ya makasisi go into the ~ -wa kasisi, ingia ukasisi. 4 the C~ of Christ Wakristo wote, kundi zima la wakristo. the C~ of England kanisa la Anglikana. ~ service n ibada ya kanisa.