chump

n 1 kigogo. 2 pande la nyama~ chop pande la nyama ya paja la kondoo. 3 (sl) mpumbavu, mjinga. silly ~ n mpumbavu. 4 (sl) kichwa. off one's ~ wazimu.