chum

n 1 rafiki.2 (US) mwenzi katika chumba. vi 1 ~ up with jenga urafiki na; suhubiana. 2 kaa chumba kimoja na. chummy adj kirafiki, kama rafiki.