chromosome

n (biol) kromosomu: nyuzinyuzi katika kiini cha seli zenye jeni; uwezo wa/ programu ya kurithisha tabia na maumbile.