chrome

n kromu: chumvichumvi inayotumiwa kutoa rangi ya manjano. chrome steel n aloi ya chuma cha pua na kromiamu. chromatic adj -a rangi; enye rangi nyingi.