christ

n (rel) Kristo Jesus Christ n Yesu Kristo Christ Child Mtoto Yesu. Christian n mkristo adj -a kikristo Christian name jina la ubatizo Christian era enzi ya ukristo (tangu kuzaliwa kwa Kristo), zama za ukristo. Christianity n ukristo. Christendom n wakristo, mataifa ya Kikristo. Christen vt 1 batiza. 2 -pa jina la kubatiza. Christening n. Christmas n (also Xmas). Christmas day n Noeli, Krismasi: siku ya kuzaliwa kwa Yesu, tarehe 25 Desemba a merry/happy Christmas heri/salam za Krismasi Father Christmas Baba Krismasi: mtu ambaye anaaminiwa hutoa zawadi kwa watoto wakati wa Krismasi. Christmas box n zawadi ya Krismasi (itolewayo kwa watu ambao wamehudumia mwaka mzima k.m. wazoa takataka. Christmas carol n wimbo wa Krismasi. Christmas eve n mkesha wa Krismasi. Christmas tree n mkrismasi, mvinje.