chorus

n 1 kiitikio, kibwagizo, mkarara, kipokeo. 2 kwaya. 3 mlio/ sauti za umati wa watu/watu wengi pamoja. in ~ wote kwa pamoja a ~ of approval mlio wa kukubali/ kuitikia. 3 (drama) wazumi. 4 kikundi cha waimbaji na wachezaji katika tamthilia/filamu. vi imba/sema kwa pamoja. ~-girl n msichana (wa kikundi) aimbaye na kucheza katika tamthilia/ filamu/maonyesho.