chord
chord
1 n 1 utari. 2 upote. 3 mtambuko (mstari unaounga nukta mbili za kivimbe). 4 (anat.) ukano, mshipi, ugwe.chord
2 n (mus) kordi: noti za msingi zinazoafikiana zikipigwa kwa wakati mmoja au pamoja. touch the right ~gusa hisia. strike a ~ kumbusha.