choir
1 kwaya. 2 eneo la wanakwaya kanisani. ~-boy; chorister n mwanakwaya. choirmaster n kiongozi wa kwaya. choral adj -a kuimba au waimbaji ~ service ibada ya kuimba. choral(e) n 1 wimbo rahisi wa kanisani unaoimbwa na kwaya pamoja na waumini. 2 kiitikio, mkarara. 3 kwaya.