chirp/chirrup

n mlio mwembamba (wa ndege au mdudu). vi 1 lia kama ndege au mdudu. 2 ongea kwa uchangamfu. ~y/chirrupy adj -changamfu, -a furaha. ~ily adv. ~iness n.