chip

vt,vi 1 ~ (off/from) bambua; bambuka; banja. 2 kata vibanzi, chonga. 3 ~ away banduka, meguka. 4 ~ in ingilia kati (mazungumzo); changa, toa mchango. n 1 kibanzi. ~ board ubao wa vibanzi. 2 kokoto. a ~ of the old block mwana anayemshabihi sana baba yake. have a ~ on one's shoulder -wa -kali kutokana na kuogopa/kujiona kudharauliwa/ kudhalilishwa. 3 (gambling) kibao. when the ~s are down mambo yakiiva; mambo yakiwa magumu sana 4. (usu pl) chipsi fish and ~s chipsi na samaki. 5 (electr) kisilikoni. 6 kindu, upapi. chipping n (usu pl) kokoto, vibanzi.