chintz

n kaliko: kitambaa cha pamba kilichotiwa rangi (agh. hutumika kwa mapazia na kufunikia samani).