chimera

n 1 (myth) kimaira: mnyama katika hadithi mwenye kichwa cha simba, mwili wa mbuzi na mkia wa nyoka, atokaye moto kinywani. 2 zimwi. 3 wazo/ndoto yoyote ya ajabu sana. chimerical adj -a kubuniwa tu.