chime

chime

1 n 1 (usu pl) sauti za seti ya kengele. 2 sauti ya kengele. vt,vi 1 lia; liza kengele, piga kengele; tambulisha saa kwa kugonga. 2 ~ in ingilia mazungumzo (kwa kukubali) au kuunga mkono ~ in with patana na, lingana na.

chime

2 n (of cask etc.) ukingo uliojitokeza.