child

n 1 mtoto, kijana. ~'s -play n (fig) kazi rahisi be with ~ (arch) -wa mjamzito have a ~ zaa, jifungua. ~ welfare n usitawi wa watoto. ~-bearing; ~ birth n kuzaa, kujifungua. ~ hood n utoto. second ~hood n ukongwe. childish adj -a kitoto; -puuzi; jinga. childishness n utoto; upuuzi, upumbavu; ujinga. childless adj bila mtoto; gumba, tasa. childlike adj -a kama mtoto; -nyofu, tiifu, -sikivu. 2 (follower) mfuasi. 3 zao.